TAG Southern Bible College P.O. Box 165, Mbeya (+255)715-865-880 [email protected]

Kujiunga na Chuo cha TAG SBC

Kama unapenda kujiunga na chuo chetu kwa ngazi ya Astashahada ya walimu wa watoto makanisani na shule za awali tafadhali Bofya Hapa kupata fomu ya maelekezo

Kama unapenda kujiunga na chuo chetu kwa ngazi ya Stashahada ya Huduma na Biblia tafadhali Bofya Hapa kupata fomu ya maelekezo

Kama unapenda kujiunga na chuo chetu kwa ngazi ya Shahada ya Theolojia na Biblia tafadhali Bofya Hapa kwa maelezo zaidi