TAG Southern Bible College P.O. Box 165, Mbeya (+255)715-865-880 [email protected]

Stashahada ya Huduma na Biblia

Maelezo ya kujiunga na stashahada ya Huduma na Biblia.

Kwa wale wasiopita chuo cha kupanda makanisa watasoma kozi hii kwa miaka 3

Kwa wale waliopita chuo cha kupanda makanisa watasoma kozi hii kwa miaka 2

Kwa wale watakaosoma muda wa jioni kutokana na kutingwa na shughuli nyingi kozi hii watasoma kwa miaka 3

Pakua fomu ya kujiunga

Pakua Fomu ya kujiunga hapa

Pakua Fomu