TAG Southern Bible College P.O. Box 165, Mbeya (+255)715-865-880 [email protected]

Neno kutoka kwa Mkuu wa Chuo

Tukio kubwa

Neno kutoka kwa Mkuu wa Chuo

Uongozi na jumuiya ya Chuo inayo furaha kukukaribisha katika chuo kwa ajili ya Mafunzo

July 9, 2020 Mbeya, Tanzania

Soma zaidi

Karibu katika chuo cha Southern Bible College!

Uongozi na jumuiya ya Chuo inayo furaha kukukaribisha katika chuo kwa ajili ya Mafunzo katika ngazi ya stashahada ya Huduma za Kanisa na Biblia, A-stashahada ya Huduma ya watoto na Shahada ya teolojia na Biblia

Chuo kipo ili kuwaandaa watumishi viongozi waliojaa na kudhihirisha nguvu za Roho Mtakatifu katika maisha na huduma hivyo kuakisi maisha na huduma ya Yesu. Tuna Imani kuwa kila mtumishi atakaye soma chuo hiki ataandaliwa kiroho na kielimu ili kutimiza maono na mzigo wa kazi ya Mungu alionao.

Hapa ni mahali Sahihi pa kujifunza penye mazingira yenye utulivu na mandhari inayovutia na kwa ajili ya kujifunza. Hiki ni chuo kikongwe katika Tanzania Assemblies of God na Idara ya Elimu.

KARIBU SANA ILI KUJIFUNZA KWA UTUMISHI ULIOTUKUKA.