TAG Southern Bible College P.O. Box 165, Mbeya (+255)715-865-880 [email protected]

Astashahada ya Huduma ya walimu wa watoto makanisani na shule za awali

Maelezo ya kujiunga na mafunzo ya ualimu wa watoto makanisani.

Tunakukaribisha kujiunga na kozi ya ualimu wa kufundisha Watoto kanisani inayofanyika katika chuo cha Biblia cha Southern Bible College Mbeya. Kaulimbiu ya chuo “kuendeleza Viongozi Watumishi walio jaa Roho Mtakatifu ili kuyafikia Mataifa”. Mpango wetu ni kupokea wanafunzi waliookoka tu (wamempokea Bwana Yesu kama mwokozi wa maisha yao) na wenye mzigo na watoto kiroho na kimwili.

Pakua fomu ya kujiunga

Pakua Fomu ya kujiunga hapa

Pakua Fomu